PromptFundi PRO

Ingia kwenye course kwanza — PRO Tracks zinafunguka kwa students.

✦ Professional Certification Program

PromptFundi PRO

Tracks 6 za advanced level — kutoka fundi hadi professional aliyethibitishwa. Prompt Engineering, Image Creation, Video Production, AI Advertising, Personal Branding, na Monetization. Lessons 24 za kina, na Professional Certificate mwishoni.

2,499 KES · one-time · tracks zote 6 · lifetime
  • Lessons 24 za advanced level — kina cha kweli, si maji
  • Production prompts za kitaalamu, tayari kutumika kwa wateja
  • Packages na bei za kila huduma — business playbook kamili
  • Professional Certificate ya gold — na jina lako na certificate ID
  • Updates zote za baadaye bure — AI ikibadilika, PRO inabadilika
Step 1 — Lipa na M-Pesa

Lipa na M-Pesa → Buy Goods and Services → Till Number:

Till Number3468104
Step 2 — Thibitisha
Asante! PRO itafunguliwa ndani ya masaa machache baada ya uthibitisho.

PRO Tracks Zako

Chagua track. Kila track ina lessons 4 za kina — maliza zote 24 kupata Professional Certificate yako.

Professional Certificate Yako Imekamilika

Umemaliza tracks zote 6 — lessons 24 za PRO level. Pakua Professional Certificate yako rasmi ya gold, na jina lako na certificate ID ya kipekee.

Copied!