Ingia kwanza kwenye course ili kufungua library ya premium prompts.
Prompts tayari kutumika โ biashara, matukio, branding, na zaidi. Copy, paste, tengeneza picha za ubora wa studio bila kufikiria neno.
Lipa na M-Pesa โ Buy Goods and Services โ Till Number:
Prompts 100, categories 10. Chagua category, bonyeza Copy, peleka kwa AI ya picha (Gemini/Bing/Canva).