Ingia kwanza kwenye course โ playground inafunguka kwa students pekee. Ukishaingia course, rudi hapa.
Prompt Playground ๐ ๏ธ
Hapa ndipo unafanya mazoezi โ AI halisi, ndani ya course. Andika prompt yoyote, ona matokeo, boresha, jaribu tena. Hivyo ndivyo mafundi wanavyotengenezwa.
Karibu kwenye playground! Jaribu prompt dhaifu kwanza, kisha uiboresha na formula โ ulinganishe majibu. Au bonyeza challenge hapo juu kuanza.
Enter = mstari mpya ยท Bonyeza TUMA kutuma ยท Mazoezi yako hayahifadhiwi โ copy majibu unayoyapenda